Mfalme wa majini

nini tuelekee kwa wengine wasio kuwa Allah kwa kuwaomba msaada? Hii ni hatari sana na ni hila ya shetani ambayo huwa anaitumia sana katika kusababisha watu wengi kupotea. Kwa kweli Allah عَزَّوَجَلَّ hajatukataza na kutaka msaada kutoka kwa wengine. Angalia katika Qurani Tukufu ambapo Allah عَزَّوَجَلَّ ameturuhusu katika aya mbalimbali kutaka msaada kutoka kwa wengine. Kwa kweli, licha ya kuwa yeye ni Mwenye nguvu, yeye Mwenyewe عَزَّوَجَلَّ amewahimiza waja wake kuinusuru dini yake; Imeelezwa katika Quran tukufu:

اِنۡ   تَنۡصُرُ و ا   اللّٰہَ   یَنۡصُرۡکُمۡ

‘kama mutaisaidia dini ya Allah عَزَّوَجَلَّ, pia Yeye عَزَّوَجَلَّ atawasaidia’

(juzuu ya 26, Sura Muhammad, aya 7)

Sayyidunā Issa عَـلَيْـهِ الـسَّـلاَم aliomba msaada kutoka kwa wengine

Sayyidunā Issa عَـلَيْـهِ الـسَّـلاَم aliomba msaada kutoka kwa wengine

قَالَ   عِیۡسَی   ابۡنُ   مَـرۡ  یَمَ    لِلۡحَوَ ارِ یّٖنَ

مَنۡ   اَنۡصَارِیۡۤ    اِلَی   اللّٰہِ   ؕ    قَالَ   الۡحَوَ ارِ یُّوۡنَ   نَحۡنُ   اَنۡصَارُ   اللّٰہِ

 

Index