Mfalme wa majini

وَ  لَا   تَقُوۡ لُوۡا    لِمَنۡ    یُّـقۡتَلُ    فِیۡ    سَبِیۡلِ

اللّٰہِ    اَمۡوَاتٌ   ؕ   بَلۡ    اَحۡیَآءٌ     وَّ  لٰکِنۡ    لَّا   تَشۡعُـرُوۡنَ    ﴿۱۵۴﴾

‘Na wala wala musiseme kuwa wale walio uwawa katika njia ya Allah ni maiti, bali wao ni wahai lakini nyinyi hamtambui’

(Juzuu ya 16, Sura Baqarah, aya 154)

Manabii  عَـلَيْـهِمُ الـصَّلٰوة ُ وَالـسَّلَام wapo hai

Kama hii ni sifa ya mashahidi, basi anawezaje mtu kuwa na shaka kuhusu uhai wa Mitume عَـلَيْـهِمُ الـصَّلٰوة ُ وَالـسَّلَام ambao ndio wenye daraja ya juu kuliko mashahidi!

Manabii عَـلَيْـهِمُ الـصَّلٰوة ُ وَالـسَّلَام wapo hai

(Al-Havi lil Fataawa, juz. 2, uk. 263) (Dalāilun-Nubuwwah, juz. 2, uk. 388)

Wacha Mungu رَحِمَهُمُ الـلّٰـهُ تَـعَالٰی wapo hai

Sheikh Shah Walīyullāĥ عَـلَيْهِ رَحْـمَةُ الْـمَنَّانْ amesema kuhusu hadhi ya Ghaus-e-A’zam عَـلَيْهِ رَحْـمَةُ الْـمَنَّانْ katika namba 11 ya Ĥam'āt; ‘Yeye ni Sheikh Muhiyyuddīn ‘Abd-ul-Qadir Jilani عَـلَيْهِ رَحْـمَةُ الْـمَنَّانْ na yeyé عَـلَيْهِ رَحْـمَةُ الْـمَنَّانْ ana uwezo ndani ya kaburi lake kama waliokuwa hai (huku duniani).’ (Ĥam'at, uk. 61)

 

Index