Usiku wa
mwezi 11 wa Rabī'-ul-Ghaus (mwezi 4 ya Kalenda ya Kiislamu), soma majina 11 ya
Sheikh Ghaus-e-A'zam
عَـلَيْهِ رَحْـمَةُ الـلّٰـهِ الۡاَکْرَم (Soma Salat-'Alan-Nabi mara 11 mwanzo na
mwisho wa kuyasema majina hayo) kisha puliza juu ya tende 11 na uzile katika
usiku huo huo basi utaipata amani kwa muda wa mwaka mzima, majina yenyewe yapo
hapo chini.
مُحیُ الدِّیْن قُـطْب |
2 |
سَیِّد مُحیُ الدِّیْن سُلْطان |
1 |
مُحیُ الدِّیْن مَخْدُوم |
4 |
مُحیُ الدِّیْن خَواجَہ |
3 |
مُحیُ الدِّیْن بادشاہ |
6 |
مُحیُ الدِّیْن وَلِی |
5 |
مُحیُ الدِّیْن مَوْلٰـنا |
8 |
مُحیُ الدِّیْن شَیْخ |
7 |
مُحیُ الدِّیْن خَلِـیْل |
10 |
مُحیُ الدِّیْن غَوْث |
9 |
مُحیُ الدِّیْن |
11 |
Muhtasari wa ndugu mmoja wa Kiislamu ni kama ifuatavyo: Ijtimai ya Zikri ilifanyika mwezi 11 Rabī'-ul-Ghaus, 1425 AH (2003) katika eneo la Korangi, Babul Madinah Karachi. Wakati wa Bayana ya kuihamasisha sunnah ilipokuwa inafanyika, tiba ya Baghdadi ilitambulishwa. Baada ya Bayana, ilifayika Bay'ah