Mfalme wa majini

za kudurusu na tabia zao zingine, jambo moja lilionekana wazi kuwa Yule aliyekuwa mwanachuoni alikuwa na tabia ya kulekea Qiblah na Yule mwengine hakuwa na tabia hiyo.

Kwa hivyo basi, wasomi na wanasheria رَحِمَهُمُ الـلّٰـهُ تَـعَالٰی kwa kauli moja wakakubaliana kwamba kwa baraka ya jitihada ya kufuata sunna ya kuelekea Qibla yule mwanafunzi akawa mwanachuoni mkubwa. (Ta'līm-ul- Muta'allim, uk. 68)

Lulu 13 za madani za kukaa kwa kuelekea Qiblah

v  Mtume Tukufu صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم alikuwa na kawaida ya kukaa huku ameelekea Qiblah. (Ihyā-ul-'Ulūm, juz. 2, uk. 449)

 

Hadithi tatu za Mtume Mtukufu

Bora ya vikao vyote ni vile ambavyo watu wake huelekea Qiblah. (Mu'jam Awsat, juz. 6, uk.161, Hadithi 8361)

Kila kitu kina thamani na thamani ya kikao ni kuelekea Qiblah.  (Mu'jam al Kabir, juz. 10, uk320 ., Hadithi 10781)

Kila kitu kina utukufu wake na mikusanyiko nayo utukufu wake unapatikana kwa kuelekea Qiblah. (Mu'jam al Kabir, juz. 2, uk.20, Hadithi 2354)

 

Index