Mfalme wa majini

اَلۡـحَـمۡـدُ  لـِلّٰـہِ رَبِّ الۡـعٰـلَـمِیۡنَ  وَ الـصَّـلٰـوۃُ  وَالـسَّـلَامُ عَـلٰی  سَـیِّـدِ  الۡـمُـرۡسَـلِـیۡنَ

اَمَّـابَــعۡـدُ  فَـاَعُـوۡذُ  بِـالـلّٰـہِ  مِـنَ الـشَّـیۡـطٰنِ الـرَّجِیۡمِؕ  بِـسۡمِ الـلّٰـہِ الـرَّحۡـمٰنِ الـرَّحِـیۡمِؕ

Mfalme wa Majini

 

Vyovyote vile shetani atakufanya ujiskie uvivu au uzito, basi kisome kitabu hiki kutoka mwanzo mpaka mwisho
اِنْ شَــآءَالـلّٰـه عَزَّوَجَلَّ  imani yako itakuwa nzuri zaidi.

 

 


Ubora wa kumsalia Mtume صلّی اللہ تعالٰی علیہ واٰلہ وسلّم

Mtume wa Rahmah صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم, Mtetezi wa Umma, wa mwanzo kuingia peponi صَلَّى اللهُ تَعَالٰى عَلَيْهِ وَاٰلِهٖ وَسَلَّم alisema, ‘Yeyote atakae nisalia mimi mara mia mbili katika siku ya Ijumaa, atasamehewa madhambi yake ya miaka mia mbili.’

(Jam'-ul-Jawāmi'-lis-Suyuti, juz. 7, uk 199 ., Hadithi 22353)

صَلُّوۡا عَلَى الۡحَبِيۡب           صَلَّى اللّٰهُ تَعَالٰى عَلٰى مُحَمَّد

 

Index