Mfalme wa majini

Dawa ya Jailani

Chukua tende 3 ndani ya usiku mwezi 11 Rabī'-ul-Ghaus. Soma suratul fatiha  mara moja na suratul Ikhlaas mara moja. Kisha soma maneno yafuatayo mara 11:

یَا  شَیْخ   عَبْدَ  الْقَادِرْ  جِیْلَانِیْ   شَیْئًا   لِلّٰہِ   اَ لْمَدَد

Soma Salat-'Alan-Nabi mara moja kabla na baada yake kisha puliza juu ya tende moja, rudia kisomo hicho na upulize juu ya tende ya pili na endelea mpaka tende ya tatu. Hakuna ulazima wa tende hizo kuliwa ndani ya usiku huo huo, zinaweza kuliwa hata katika masiku mengine. Utapata nafuu ya magonjwa yote ya tumbo kama vile maumivu ya tumbo, kukosa choo, kujawa na gesi tumboni, vidonda vya tumbo, kutapika na mengineyo.

صَلُّوۡا عَلَى الۡحَبِيۡب           صَلَّى اللّٰهُ تَعَالٰى عَلٰى مُحَمَّد                   

 

 

Index